what is the easy software for drawing wheatstone bridges diagrams

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
habari wana jf mwenye ufahamu na software hapo juu naomba anijuze
 
Mimi sio mtaalam wa hivyo vitu lakini mbona ni drawings simple tu? Why usichore na mkono?
 
Mimi sio mtaalam wa hivyo vitu lakini mbona ni drawings simple tu? Why usichore na mkono?
kwa mkono naweza na baadhi ya software naweza tumia kama tinycad but i cant find diagonal resistors in tinycad library
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…