What is the best way to transfer your CD collection to your computer?

What is the best way to transfer your CD collection to your computer?

jax fikrini

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
46
Reaction score
6
jamani njia rahisi ya rip collection cd kwenda kwenye laptop/pc ni ipi?
naombeni msaadaa wenu!
 
jamani njia rahisi ya rip collection cd kwenda kwenye laptop/pc ni ipi?
naombeni msaadaa wenu!

karibu major media player zote zina option ya ripping. mi natumiaga jetaudio.. sina sababu ya maana kuichagua. naipenda tu
 
tumia power iso mkuu kwanza icopy hiyo cd kwenye top ako then iyo add hyo cd file ulilolicopy kwenye iso then fanya kama unaexract to new folder! Untitled.jpg
 
jamani njia rahisi ya rip collection cd kwenda kwenye laptop/pc ni ipi?
naombeni msaadaa wenu!

labda ungefafanua zaidi problem yako ni ipi na je unatumia operating system ipi je ni window,mac,linux ama ubuntu?
 
Back
Top Bottom