Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mkuu umenena..Perfection kwa kiswahili rahisi ni kamili, kamilifu au timilifu, tunapotaka kujadili hili inabidi tuwe makini kuwa tunajadili kwa muktadha gani, wa kidini? Kisayansi? Kiphilosophia au kijamii katika ujumla wake? Kwa kuanzia kidini kwa upande wa Biblia takatifu tunaambiwa 'hakuna mtimilifu la hata mmoja'.NOBODY IS PERFECT Lakini tutakuwa tunajiwekea wigo wa kuchanganua kama tukibaki kwenye dini, kwa mantiki hiyo basi turudi kwa upande mwingine na kuangalia hilo lakini vyovyote viwavyo tutakuja na jawabu moja tu hakuna kilicho kamili hata kimoja, kwa maana ya kuwa chochote kiwe kiwe kiwavyo hakitakosa maswali ambayo aidha hayana majibu au majibu yake yatazaa maswali mengine. Kwa mfano ukisema 'saa moja kamili' ndio ni kamili lakini si kamilifu au tengeneza umbo lolote lile kwa ustadi mkubwa mno, liache na baada ya muda rudi liangalie utagundua makosa mengi. Hakuna kilicho kamili kwakuwa akili ya binadamu ni kitu kinachobadilika muda wote, kamilifu ya leo si ya kesho
Hakuna kilicho kamili kwakuwa akili ya binadamu ni kitu kinachobadilika muda wote, kamilifu ya leo si ya kesho
I am....
The NIHILIST basing on Plato's point of view (IN DAILY LIFE NOTHING IS OF SERIOUS IMPORTANCE). And that of King Solomon, in his book of Ecclesiastes (in the bible).
I had some dialogues with my brothers about this thing, we reached a point in which everyone tergiversated, because the dialog became a good reason to make people impiety. On my side I do not think if discussion can change someone's vision about whatever he knew.
I would like to discus with you something about PERFECTION.
It is all about something known as PERFECTION
Questions/problems.
a. What is the perfect thing?
b. Can a perfect thing change?
c. What are the parameters in determining the perfect thing?
People use to say that human beings are imperfect, what are the imperfection of the human beings?
KEY: Think of anything which is perfect to you.
Examine it.
Can it change?
Why do you think what came in your thoughts is the perfect thing.
May you please let me know what is perfect to you?
In those simple questions I do not confine the one I ask about the things to think as the clues when thinking of the perfection. I know that SKY IS NOT THE LIMIT. Thus, different scholars have studied so many things from the outer spaces like stars, planets etc. What is written in the great keys of Solomon is this, man should have celestial and terrestrial knowledge.
Okay sir... a thing is an object that one need not, cannot or does not wish to give a specific name to.Before I respond to your thread: Please be more specific.
a. What is the "THING" to you?
Unless someone knows what is the "thing", your question will continue to be fallacious argument or affirming a disjunct, in contrast, may be you want your thread to be argumentum ad populum.
kwo utimilifuu unbadilika kutokana na mahitaji.....is perfection multifaceted?Ukamilifu/Utimilifu wa kitu/mtu unategemea na mahitaji. Kama mtu/kitu kina uwezo wa kufanya mambo 10 kati ya matano yanayohitajika si ajabu tukasema kitu hicho ni timilifu. Lakini kesho wakaja watu na kuhitaji mambo 12 kutoka hapohapo ndipo watakapo ona kuwa kuna mambo mawili hayawezi kupatikana kutoka kwenye hicho kitu hivyo watasema si timilifu. Hata dini zinaposema hakuna aliye mtimilifu bado zinajikita katika dhana ileile kwamba hakuna mtu anayeweza kufanya yoote anayohitaji Mungu kwa usahihi unaokusudiwa.
who is the creator? tell me the creator and what he created. don't worry I am the Nihilist,Only the creator of that particular thing in question can say truly say whether the thing in question is perfect or imperfect because he/she/it bears the original design and intentions. For all others perfection/imperfection is a relative thing and maybe subjective
ukamilifu in general..kama ulisoma platos meno. bwana Meno na socrates walivyokuwa wanadiscus kuhusu virtue, Meno alisema virtue inategemmea kama ni ya mama wa nyumbani au civil servant. socrates akamwambia kwa swali ...Je Meno nikikwambia unipe maana ya nyuki utauliza kama ni nyuki wakubwa au wadogo? je hao nyuki hawana wanachoshare ? ...kwa hiyo mkuu mimi napenda kujua perfection in generalPerfection kwa kiswahili rahisi ni kamili, kamilifu au timilifu, tunapotaka kujadili hili inabidi tuwe makini kuwa tunajadili kwa muktadha gani, wa kidini? Kisayansi? Kiphilosophia au kijamii katika ujumla wake? Kwa kuanzia kidini kwa upande wa Biblia takatifu tunaambiwa 'hakuna mtimilifu la hata mmoja'.NOBODY IS PERFECT Lakini tutakuwa tunajiwekea wigo wa kuchanganua kama tukibaki kwenye dini, kwa mantiki hiyo basi turudi kwa upande mwingine na kuangalia hilo lakini vyovyote viwavyo tutakuja na jawabu moja tu hakuna kilicho kamili hata kimoja, kwa maana ya kuwa chochote kiwe kiwe kiwavyo hakitakosa maswali ambayo aidha hayana majibu au majibu yake yatazaa maswali mengine. Kwa mfano ukisema 'saa moja kamili' ndio ni kamili lakini si kamilifu au tengeneza umbo lolote lile kwa ustadi mkubwa mno, liache na baada ya muda rudi liangalie utagundua makosa mengi. Hakuna kilicho kamili kwakuwa akili ya binadamu ni kitu kinachobadilika muda wote, kamilifu ya leo si ya kesho
Still your thread is argumentum ad populum.Okay sir... a thing is an object that one need not, cannot or does not wish to give a specific name to.
or to make it clear, take away the word 'THING' let us discuss what is perfect and not a perfect thing. what is perfect, and what is perfection?
who is the creator? tell me the creator and what he created. don't worry I am the Nihilist,
Nope it's not.kwo utimilifuu unbadilika kutokana na mahitaji.....is perfection multifaceted?
how..?Still your thread is argumentum ad populum.