WHAT IS KAGAME DOING AT THE G 20 SUMMIT

WHAT IS KAGAME DOING AT THE G 20 SUMMIT

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
3,935
Reaction score
7,531
1543664075960.png


And the other guy standing behind MBS in the photo?
 
Behind MBS is Macky Sall..... Senegalese president. He's there as a Chairman of The New Partnership for Africa's Development ( NEPAD)

Cool, nilimchanganya na Nguema. Hiyo partnership iko set up ni nchi zipi?
 
Nayeye nadhani aliwahi kuwa mwenyekiti wa AU miaka ya 2011 au 2012,kwa nafasi yakuwepo ktk hii picha sijajua,labda vile ndie kwasasa Rais wa Africa aliye Kaa madarakani muda mrefu sana nadhani tangu 1977
Alitwaa madaraka August, 1979 kwa kumuua mjomba wake na hadi leo angali madarakani labda anaamini ikulu tu ndio kuna "Oxygen".
 
KIUFUPI RWANDA HII ILIOTOKA JUZI KATI KWENYE VITA NI NCHI TAJIRI KWA AFRICA MASHARIKI NA KATI, JAPO UKWELI UNAUMA BUT NDIO IVYO TENA, 1.5 IREJESHWE PLZ
 
Bila Mugabe hapo hiyo picha ata hainogi....
Ila namuona mzee baba Trump kamiliki jukwaa hapo
 
Kagame mtu wao,mwanasystem huyo,ndio maaana wanamkumbatia na hawamsemi vibaya pamoja na ukandamizaji anaoufanya.
 
Back
Top Bottom