What is going on?

What is going on?

Haya maisha ya kujipendekeza ndo yanafanya hal izid kua ngumu huku mtaanu maana mjomba anaona anakubalia kumbe nitofauti ,watu wanataka wapunguze baadhi ya mizigo kwa njia hiyo na wakiamin huenda watapata chochote kitu

Baba wa mbinguni we ndo baba wa taifa huyu baba ulietuachia si lolote ni misifa
 
Nandy kajishusha sana, sitokaa nisikilize nyimbo yake yoyote ile, unamsifu jiwe, una akili kweli !!!!! Ni kama ambavyo siwezi sikiliza tena nyimbo za fid q baada ya kusema yeye pia ni fisiemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom