What is going on?

What is going on?

Nadhan wanalipwa!ukitaka kuwa successful Tanzania lazima uendeshwe km remote!..matajiri wote migodini ni ccm...tena had wanajenga vituo vya police bure!.labda kwaajili mm sio tajiri .nna documents zote sahihi za serikali sipelekeshwi aisee!huyu Nandy anatumika!
Huyu atakuwa kaagizwa kabisaa...
 
Tayari kishapotea kwenye game huyo, msanii ukishaingia kwenye siasa hasa za Afrika kazi shila. Haitakuwa na jipya tena binti mdogo kama yeye kujichanganya kayumba mwanzo mwisho mtaja nambia.
 
Tayari kishapotea kwenye game huyo,msanii ukishaingia kwenye siasa hasa za afrika kazi shila ...haitakuwa na jipya tena binti mdogo kama yy kujichanganya kayumba mwanzo mwisho mtaja nambia.
Inashangaza sana....
 
Labda
1. Huyo ni miongoni mwa wanaompenda Magufuli
2. Kaona opportunity (kupitia Harmonize)

Je ni kosa kutumia opportunity ikijitoeza? Au ni kosa kuwa anampenda Magufuli kama ambavyo wapo wanaomchukia?
Hatuwezi wote kuwa na mawazo sawa.
 
Haahhaaa...kwamba Nandy anatafta green pasture😅

Wanawake huwa na Desturi ya Kusimuliana ni Mwanaume gani huwa anagawa sana Pesa au anajua Kutunza ili nao wajitupe wakajaribu bahati. Yawezena huyu Binti labda nae ana Ushosti na Wakubwa zake wa Uwekezaji, Kisarawe Shambani bila Kumsahau na wa Bamaga mkabala na TSN Petro Station pamoja na wa Afya za Wanadamu nchini.
 
mbona hata U.S kina Jay-Z walikuwa wanaunga juhudi za Obama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom