Muhimu kuwa na balance isiyofahamika home, unaweka hela zote hadharani mnapangia bajeti inatokea dharura, huyo huyo mliyepanga naye bajeti anakutolea macho anataka uwajibike lalamika ukata uone heshima inavyoporomoka!
Kwa maisha ya kibantu heshima ya mwanaume ni pochi ndo maana hata ukipewa fedha sawa kwa wakati mmoja na mwanamke yeye bado atataka umnunulie lunch/soda n.k, sasa kama unaweka mambo hadharani hizi ofa utazitoa kwa bajeti gani? na huwezi kukwepa mizinga ya hawa wa2.