Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,798 Jul 20, 2012 #1 hivi ingekuaje kama siku unaamka ghafla unajishtukia kwamba gender(jinsia) yako imebadilika.!!! kama ulikua me unakua ke na kama ulikua ke unakua me, emh tuelezane ungelia, ungefurahi, ungerukaruka au vipi.??
hivi ingekuaje kama siku unaamka ghafla unajishtukia kwamba gender(jinsia) yako imebadilika.!!! kama ulikua me unakua ke na kama ulikua ke unakua me, emh tuelezane ungelia, ungefurahi, ungerukaruka au vipi.??