what if..........

Judgement kwani kumilikiwa ndo nini? Hata Kaizer anamilikiwa lakini heshi kusarandia vibinti vingine! Btw, huko kanda ya kati nishatoka longiiii nikaenda mashariki kwa wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
mke mwenza mie mzima.....
simu yangu niipendayo kuliko chochote imeharibika ndo maana nikashindwa kwenda kwenye maandamano, hapa nina homa ya simu...

vipi unaendeleaje?



mke mwenza hali zako?? mi mith u khaaaa! hivi maandamano yetu ya jana yaliishia wapi khaaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom