kuna tafauti kati ya consipiracy na research, kwa sisi tunaofuatilia ile issue mpaka sasa tunajua waliotoa consipiracy na research, mfano engineer wengi wamekubali hakuna jengo linaweza kuanguka kutoka juu mpaka chini, hizo ni research kama umezoea consipiracy sasa usizilete ukuBoss kama hiki ndicho ulichofikiri bila external influence yoyote,basi jitambue rasmi una uwezo mdogo sana wa kufikiri...yaan unafananisha tukio la Sept 11 na tukio la maandamano ya 29th...are you serious??Hivi hata hizo research zinazochambua 9/11 consipiracy theories sijui hata kama umezisoma aisee?...
Mali za mafisadi siyo zao, ni za ummazinaweza kua sababu ya kufanya maandamano lakini sio kuchoma mali za watu
Yadanganye machawaMange angekuwa gov agents first of all few day before maandamano ange dissapear or kuchange msimamo.
The “what if” ni fikra lakin not yet a reality
Research za hao Engineer unaowazungumzia zote zilikuwa based on existing conspiracy theories regarding collapsing of twin tower. ...anyway sidhani kama kuna haja ya kwenda kwenye 9/11 issues..kuna tafauti kati ya consipiracy na research, kwa sisi tunaofuatilia ile issue mpaka sasa tunajua waliotoa consipiracy na research, mfano engineer wengi wamekubali hakuna jengo linaweza kuanguka kutoka juu mpaka chini, hizo ni research kama umezoea consipiracy sasa usizilete uku
yale hayakua maandamano ulikua wizi, hivo basi ukisema wananchi waliandamana huo ni uongo so ile influence haikua ya kawaida,
Niende online wapi hebu elezea vizuri.nlioona na nkakupuuza kwa sababu umeshindwa kwenda ata online kuuliza kama qr code inaweza kufutwa
Ni mtu mjinga tu wa CCM asiyeona kuwa sababu ya maandamano ni ufisadi uliokithiri,kutekwa kwa watu,uchaguzi hewa,utendaji mbovu maofisini,rushwa,vijana kutokuwa na ajira Nk.ni mtu mjinga tu asiyeona hilo.samuya na genge lake watalipia damu za watanzania na hawataepuka na hilo kwa namna yoyote.na damu huwa inalipwa kwa damu.Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Janja janja ya mafisadi inafahamika vizuri kuwa huweka utambulisho wa kunguni na machawa wao kuficha uhalisia. Huwezi kushindana na umma, elewa hiloonyesha document za usajili zinazoonyesha zinamilikiwa na hao mafisadi
Data zako kaa nazo, maana data zenu zote ni za kupika, ni fekikama huna data ni bora ukae kimya
Uwezo wako wa kufikilia ni mdg sana kjanaKwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?