Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,630
Hapo kwenye vita vya kutumia TECH nimepapenda sana. Mambo ya Drones.
Everything starts with reconnaissance, mtu yupo Pentagon anatuma ndege zije kukufight sio wewe na jeshi lako kubwa unamarch had US. Kabla hujafika anakumaliza