What if China, Russia, Iran, and North Korea Unite?

What if China, Russia, Iran, and North Korea Unite?

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
So, combine Iran's missiles, with Russia's military, North Korea's 4th largest army in the world, China with them now building stealth J20 aircraft, Carriers, and anti carrier missiles, and Russia's more advanced missiles, and Iran's weapons development.

I'd say the US could ally with France, Canada, Spain, Italy, Germany, the UK, even Australia and Norway, and whoever else allies they have.

Any professionals with an opinion would be appreciated. I just see all these countries with growing tensions, milking everything, playing it down as their military grows until they DO something altogether and we're done.
 
USA anawachakaza wote hao, sasa hivi vita inaanzia kwenye Tech sio kuwa na jeshi kubwa kama hao North korea.

Makombora ya Iran ni ya kupewa hana uwezo wa kutengeneza yake.

China hamna kitu kwenye vita, huyo hata India au Brazil anamchakaza.

Russia tu ndo mwenye uwezo wa kumtingisha USA, na ndo atakayezibeba hizo nyingine (Iran, North korea, China)
 
Nadhani zikiungana basi kila nchi itakuwa na serikali yake with autonomy na kutakuwa na serikali ya Federation, yaani ukiungana nchi 2 au zaidi basi serikali ya Muungano haiepukiki.
 
US amepenya katika kila serikali, watashindwa kabla hata hawajaanza. Wakumuogopa ni Mrusi napia hata nchi nyingine za ulaya ziko vizuri kijeshi France na Uingereza wako vizuri.
 
Watachakaza vibaya sana. Siku hizi nchi za ulaya ni masikini. Yaani siku hizi NATO ni nchi moja, kwa hiyo kuna nchi mbili yaani USA na NATO. Cheki mrusi tu anavyowababaisha. USA mwenyewe kimya.
 
USA anawachakaza wote hao, sasa hivi vita inaanzia kwenye Tech sio kuwa na jeshi kubwa kama hao North korea.

Makombora ya Iran ni ya kupewa hana uwezo wa kutengeneza yake.

China hamna kitu kwenye vita, huyo hata India au Brazil anamchakaza.

Russia tu ndo mwenye uwezo wa kumtingisha USA, na ndo atakayezibeba hizo nyingine (Iran, North korea, China)
hivi mkuu unafanyaga kweli research ama huwa unaongea kishabiki?.

Una hakika iran hatengenezi makombora?.
 
Hizo nchi zote Missile superpower! Nchi nyingi za UE hazina power na nguvu yao kubwa ni muungano wao wa NATO jiulize kwanin US inatumia fedha nyingi kuweka missile shield ULAYA kwa kigezo cha IRAN Threat? URUSI ni habari nyingine, CHINA ni hatari pia....NorthKorea ni nomaa IRAN ni hatari zaidi...Kwa More info jaribu utembelee website zao ata ktk website ya defence inayoonesha military Ranking ndo utajua na jiulize kwanini US anabweka sana kwa IRAN na NoRTH KoREA jibu ni missile deterrence
 
hivi ni lini dunia itazungumzia Afrika kama tunaivyozingumzia Russia, USA, China, Korea, NATO(Hizi nimezijumuisha kwa makusudi)?
 
Mahitaji yetu ni tofauti. Rejea maisha ys King Mswati, Zuma, Mkulu.

hivi ni lini dunia itazungumzia Afrika kama tunaivyozingumzia Russia, USA, China, Korea, NATO(Hizi nimezijumuisha kwa makusudi)?
 
Wachovu wanaungana kushare uchovu wao. Itawasaidia nini sasa? China hatajiunga nao. Anajua soko lake la bidhaa liko western world kuliko North Korea ambako kuna mpaka utapia mlo.
 
hivi ni lini dunia itazungumzia Afrika kama tunaivyozingumzia Russia, USA, China, Korea, NATO(Hizi nimezijumuisha kwa makusudi)?

Kipi tulichonacho hadi wapoteze nguvu na mda wao to discuss about Africa?

Wengine wanazama libraly au laboratory na kutoka na kitu kipya!!

Sisi full kushinda Google, to search a stupid question like how to handle a woman, or how to handle a man!!

Tumejaa majungu na ushirikina, mbona wanangu hawafaulu kwenda secondary wakati wa jiran wanafaulu?? Bila kusahau kwamba walitengenezewa mazingira since day one

Wenzetu wana focus what will be after ten yrs to come!!

Sisi sasa tunajua leo tu! Ya kesho yatajulikani kesho!!
 
USA anawachakaza wote hao, sasa hivi vita inaanzia kwenye Tech sio kuwa na jeshi kubwa kama hao North korea.

Makombora ya Iran ni ya kupewa hana uwezo wa kutengeneza yake.

China hamna kitu kwenye vita, huyo hata India au Brazil anamchakaza.

Russia tu ndo mwenye uwezo wa kumtingisha USA, na ndo atakayezibeba hizo nyingine (Iran, North korea, China)

Hapo kwenye vita vya kutumia TECH nimepapenda sana. Mambo ya Drones.
 
US amepenya katika kila serikali, watashindwa kabla hata hawajaanza. Wakumuogopa ni Mrusi napia hata nchi nyingine za ulaya ziko vizuri kijeshi France na Uingereza wako vizuri.

Mkuu vita ni Tech and Psychology zaidi na sio ule muda wa kumwaga vifaru. Kwanza unamsoma adui then upeleka drones kufanya kazi huku wewe unakula bata.
 
image.jpg
 
behind the scene kuna ruling class from world supernations ambao ni kitu kimoja lakini kwenye media wanaonekana ni mahasimu,wanatumia hzo political tensions kwa faida yao ya kuendelea kubakia na madaraka,ni vigum sana kuelewa hilo kama unaamini mainstream media,na vita kati yao haiwezi tokea,only tensions
 
Safi sana. It has been like that for years now. Mastori tu lakini mtanashi hatuuoni.
 
hivi ni lini dunia itazungumzia Afrika kama tunaivyozingumzia Russia, USA, China, Korea, NATO(Hizi nimezijumuisha kwa makusudi)?

Siku tuapo weka tengeza Nuclear Bomb, utawasikia watakavyo kuja juu na kusema eti Waafrika wanatishia amani. Wait and see.
 
Back
Top Bottom