Mtafute Gadiel mwenyewe... maana hajawahi kulalamika. Na anazidi kunawiri tu.Yanga alikuwa analipwa sh ngapi na Simba wanamlipa sh ngapi?
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
Kumbe mnajua mnavyojibizana. NisameheMajibu ya kidemu hayo
U c what I c.Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
Mitanzania utaijua tu ni uvivu tu hawataki kushindana.sasa ulitaka aendelee kubweteka tu kucheza na Juma ABDUL.Uamuzi aliouchukua wa kutafuta changamoto mpya ilikuwa ni uamuzi sahihi kabisa na hajafanya kosa lolote.Anapata changamoto nyingine ili aweze kujituma zaidi na kupandisha kiwango chake na kipato chake pia. kimepanda.hivi hata kwa macho tu Gadiel Michael huoni alivyonawiri na furaha tele wakati angebaki huko angeendelea kukondeana na vinywele vile vile alivyokuwa navyo kama FIDODIDO He he heDogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.
Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?
Wachezaji wa Tanzania bogus sana
Vyura fc, katika akili zao wanawaza vitu viwili tu, ushirikina na kuhonga marefa.Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
Zimbwe kisha fanya yake. Mpira wa bongo unachezwa usiku WA manane.Vyura fc, katika akili zao wanawaza vitu viwili tu, ushirikina na kuhonga marefa.
Ndo mana hata timu yao inatoa sare na timu za kawaida tena sare NNE mfululizo afu wanakuja kuaminishwa eti ka sio makando kando tutamfunga simba.
Mna muda gani hadi sasa hamjaifunga simba?
Leo hii unasema Gadiel amelogwa, sio kwamba kipindi hicho alikua bora miongoni mwa wabovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. ThinkUnaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
Tell himNdio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. Think
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ndio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. Think
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Tuache unazi lakini kuhama ni haki kwake ila benchi amesugua hadi kaisha.Saiz katika mabeki wa pembeni bora ligi kuu hata 10 bora hatii maguu wakati akiwa Yanga alikiwa fire[emoji91]Kam angetaka hela angemwomba wakala amtafutie timu uarabuni.Huko ndo kuna mipesa.mitanzania utaijua tu ni uvivu tu hawataki kushindana.sasa ulitaka aendelee kubweteka tu kucheza na Juma ABDUL.Uamuzi aliouchukua wa kutafuta changamoto mpya ilikuwa ni uamuzi sahihi kabisa na hajafanya kosa lolote.Anapata changamoto nyingine ili aweze kujituma zaidi na kupandisha kiwango chake na kipato chake pia. kimepanda.hivi hata kwa macho tu Gadiel Michael huoni alivyonawiri na furaha tele wakati angebaki huko angeendelea kukondeana na vinywele vile vile alivyokuwa navyo kama FIDODIDO He he he
Kabisa Dogo alikosa washauri wazuri. Kwa uwezo alio nao hatakiwi kukaa benchi. Hapo Simba kapigwa misumari...Ni kweli bora upate kidogo endelevu kuliko kupata kingi cha mda mfupi, dogo angebaki Yanga sababu alikua ana uhakika wa number I think angepata offer nzuri nje sababu umri wake bado mdogo lkn kwa sasa naona kama kajipoteza mwenyewe kinacho fuatia hapo ni kotolewa mkopo na kupotea kusiko julikakana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Yanga hawawezi kumrudisha ? Au alitoka Kwa dharau?Tuache unazi lakini kuhama ni haki kwake ila benchi amesugua hadi kaisha.Saiz katika mabeki wa pembeni bora ligi kuu hata 10 bora hatii maguu wakati akiwa Yanga alikiwa fire[emoji91]Kam angetaka hela angemwomba wakala amtafutie timu uarabuni.Huko ndo kuna mipesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kuambiwa hizi. Kwahiyo ni heri ucheze Namungo ufe njaa badala ukawe mchezaji wa Akiba TP Mazembe uwe tajiri...Ndio akili za kibongo hizi. Wajuvi huangalia uwezekano wa kupata nafasi ya kucheza, sio pesa. Pesa hailengwi hivyo, kwani mafanikio huja kutokana na kupata nafasi kuonyesha kipaji. Samata amefuata pesa uingereza? Nafasi ya kuonekana zaidi kutokana na heshima ya ligi. Kwmani vilabu vya Somalia havishiriki Klabu Bingwa Afrika? Itakuwa ni ujuha kwa mchezaji wa klabu ya Somalia kukataa ofa ya kukipiga Mneya City kwa sababu tu timu yake pia inashiriki Klabu Bingwa Afrika. Think
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk