charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
sio utabiri, ni hali halis
1) wabunge kuhama chama
2)Wenyeviti wa mikoa kukimbia
3)Migogoro itaongezeka
4)Baadhi ya wabunge kusimamishwa vikaoni kutokana na kutumia jazba
5)DK Slaa atakuwa kimya na kuzidiwa na wapambe wa Chadema.
5)Jf itavamiwa na wanaccm
MS umesema kweli. i support you strongly. CDM sio chama makini. Ubinafsi utakimaliza.
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
wewe Charity boy unaleta threads zisizo namsingi.Tunataka mambo kwa evidence.Huyo Mbatia hana ubavu wa kipambana na jopo la mawakili wa CDM.Ndo umeamka nn?
Mbatia longolongo nyingi hana ubavu wa kupambana na CCM sasa anataka kupambana na CHADEMA. Si mpinzani alisi. Hana tofauti na Makamba anayeamini kuwa CCM inapendwa sana shida ni Sita na watu fulani wachache.Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
ukisoma threads na comments mbalimbali za huyu jamaa, utagundua kaegemea upande gani. yeye na Malaria sugu ni moto na petroli. hawaniumizi kichwa tena. nikiona threads zao nazitupilia mbali.
ukisoma threads na comments mbalimbali za huyu jamaa, utagundua kaegemea upande gani. Yeye na malaria sugu ni moto na petroli. Hawaniumizi kichwa tena. Nikiona threads zao nazitupilia mbali.
kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema hm yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.