What happens when you trust somebody?

jf user

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
777
622
Wanajamvi nauliza nini kinatokea unapomwamini mtu?

Vipi akikusaliti nini kinatokea?
Help plz I'm on difficult situation now.
Kwanini mtu anakulazimisha umuamini?
 
Aiseee umekua na roho ngumu sana. Nilitaka nikutangazie Ndoa nimeanza kusita sasa
Weka picha ya huyo mtu ambae hutaki kumuamini.

Ila dawa ya usaliti ni kumsaliti.
Dunia ya leo ukijifanya msamaria mwema mwisho wa siku unaonekana falla
 
Back
Top Bottom