Hiyo ni kweli maana madogo wa fb wamevamia huku kwa kasi basi mambo shaghalabaghala....Nilikuwa Facebook tangu mwaka 2006, ikaniboa tangu mwaka 2010, possibility ni kwamba kile kilichoniboa facebook Enzi hizo maybe ndicho kimehamia huku
Kuna ukweli nyomi hapa mjue!
Hiyo ni kweli maana madogo wa fb wamevamia huku kwa kasi basi mambo shaghalabaghala....