What goes around comes around

Ni theory nzuri sana na mimi nakubaliana nayo 100% ila sasa kwenye ukweli kwa maana ya vitendo ndo ugumu ulipo....
 
Hivi huoni aibu ya kuzaa ukiwa kwenu na watoto wakalelewa bila baba?


Wanawake wanaozaa wakiwa makwao, wengi wao siyo dhamira yao. Ni katika kupita pita ndiyo anajikuta kazalishwa, nzuri mwanaume akubali, mbaya mwanaume akikataa.
 
Ni ukweli ambao wengi wataukataa... ila ndio ukweli wenyewe huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…