Naona umepaniki sana .....ukisikia paaa,,, katubuni dhambi zenu tumechoka kuombwa ushauri ....namalizia na kisunyooooNingetukana ila sitaki ban
Sasa wewe kwani wanawake unaowalaumu hapa huwa wanachepuka wenyewe kwa wenyewe?si na wanaume?
Au hiyo what goes around comes back around haiwi applied kwa wanaume wachepukaji?
Nasikitika kusema huna akili
[HASHTAG]#p0vuuuuuuuuu[/HASHTAG]
Malipo ni hapa hapa duniani ......nimewakumbusha tu mahali tupipoteleza tujirekebisheWhat you have to know my dear. Now days kuna kitu kinaitwa struggle for the fittest.
Pia Jitahidi utimize kila kitu kwenye ndoa yako hakika mchepuko hutoiskia. Maana haijalishi mtu katembea na wanaume wawatu alafu akifika kwenye ndoa ya mme wake atulie kutokana anovyo mhandle na kumweshim
kassimneema sijapanik ila ujumbe wako ulitakiwa uwagusie jinsia zote...mana wote huwa wanasalitiNaona umepaniki sana .....ukisikia paaa,,, katubuni dhambi zenu tumechoka kuombwa ushauri ....namalizia na kisunyoooo
Sasa leo nimeamua kugusiwa wanawake wenzangu siku ingine wanaume sasa huko kutaka kunitukana halafu iweje?? Hata ww unaweza wafungulia uzi my dear ,,,kassimneema sijapanik ila ujumbe wako ulitakiwa uwagusie jinsia zote...mana wote huwa wanasaliti
Binafsi hadi sasa sijawahi kutembea na mume wa mtu
Nilisema kutukana sio kukutukana...nilipokosea ni kusema huna akili,sorry hapo ndio nilikoseaSasa leo nimeamua kugusiwa wanawake wenzangu siku ingine wanaume sasa huko kutaka kunitukana halafu iweje?? Hata ww unaweza wafungulia uzi my dear ,,,
Mm nimechoka kuona tukiomba ushauri kila mahala ,,, ohh mume hiv mume vile kumbe ww mwenyew unajikuta unamadhambi yako yasostahimilika
SASA LEO SIKASEMA KUWA ANAZUNGUMZA NA WANAWAKE TU KWANZA ...AU HUKUMUELEWA NINI MKUUkassimneema sijapanik ila ujumbe wako ulitakiwa uwagusie jinsia zote...mana wote huwa wanasaliti
Binafsi hadi sasa sijawahi kutembea na mume wa mtu
Mkuu changia mada husika kama unacho cha kuchangiaSASA LEO SIKASEMA KUWA ANAZUNGUMZA NA WANAWAKE TU KWANZA ...AU HUKUMUELEWA NINI MKUU
Mbona ameandika vizuri tu,Ningetukana ila sitaki ban
Sasa wewe kwani wanawake unaowalaumu hapa huwa wanachepuka wenyewe kwa wenyewe?si na wanaume?
Au hiyo what goes around comes back around haiwi applied kwa wanaume wachepukaji?
Nasikitika kusema huna akili
[HASHTAG]#p0vuuuuuuuuu[/HASHTAG]
Malipo ya mkosaji lazima yalipwe hata kama utamhandle mwenza wako kwakumbeba wakati wote, kama ulitendea wenzako vibaya basi ujue yatakupata kwa kiwango kile kile, hii nikweli kabisaWhat you have to know my dear. Now days kuna kitu kinaitwa struggle for the fittest.
Pia Jitahidi utimize kila kitu kwenye ndoa yako hakika mchepuko hutoiskia. Maana haijalishi mtu katembea na wanaume wawatu alafu akifika kwenye ndoa ya mme wake atulie kutokana anovyo mhandle na kumweshim
Kabisa mkuu,,, tatizo wanawake tunapenda sana kulalamika kuliko wanaume na ndio mana wanaume wanaonekana wabaya kila sikuHii kweli kabisa, sema ndio hivyo mwanadamu kila wakati anajiona yeye mjanja bila kujua anajiharibia maisha yake ya mbeleni
wameshazoea kutendea wenzi wao tu ..siwajua tena mtenda akitendwaWanawake tukiambizana ukweli hatutaki ......na nimeelezea mwanzo kabisa ,,,