What goes around comes around

What goes around comes around

Sio poa babuu...yaani ni hivi; ukimfanyia hivyo tuu jua umejiroga upyaaaa utalia tuu tena mbona kama kumpata yashampata ww unataka alieje kwani??? Huna haja ya kufanya hayo,tena kama ungemsaidia hata hela ya NIDO kwa mtoto ungebarikiwa sana,...KISASI ni juu ya MUNGU acha hayo mawazo mabaya kabisa.
 
The best revenge is no revenge..move on be happy
U dont need any acknowlement of your pain bro
 
PUMBAVU HILI LIMELETA THREAD AF LINAMALIZA ETI LINATAKA KUKOMOA...WAKATI NATURE SIJU KARMA ISHAFANYA YAKE...IDIOT
 
Back
Top Bottom