Android,tecno c8Ni device gani au console unatumia kuchezea hilo game
Fifa 16Hiyo ni console what game are you playing?
Teh teh..Usijali mkuu..Utapata..Ila nakushauri tafuta game za kutosha za kucheza njiani..Mana safari ya uko sometimes haina mwishoMkuu bado sijapata Tour guide wa kunipeleka huko
Safari itakuwa na mwisho na nitarudi salama..Mimi nawashanga sana matour guide wa huko sijui ni uoga wa kwenda huko au ni kwa nini hawataki kujitokeza😡😡Teh teh..Usijali mkuu..Utapata..Ila nakushauri tafuta game za kutosha za kucheza njiani..Mana safari ya uko sometimes haina mwisho
Sio mda wote unakimbizana na nature kuna mda wa kutuliza akili au hata kutoa stress kwa game la "BreakGame" la Nokia TouchMiaka yetu hivi vitu walikuwa wanachezea wale tulikuwa tunawaita watoto wa mama au watoto mayai, wanaume tulikuwa tunakimbizana na nature