What exactly is her vision for the country?

Madam Samia has a very clear vision. It's to grow the economy through Foreign Direct Investment capital and making the country visible diplomatically.

There is huge achievement projected in one year to come that you can't see it at the moment because of the shorter time frame since she assumed power.
 
Samia bado ana ushamba wa mwanamke kuwa rais wa nchi.
 
Magufuli hakuwa Rais sahihi kwa Nchi yetu bali alikuwa anapuyanga tu. Watanzania wengi elimu duni aliwadanganya kwa propaganda zake na wakadanganyika, hawakuwa na namna ya kupata taarifa mbadala.

Ilikuwa ni ajali kutawaliwa na kichaa toka Chato iliyotokea mwaka 2015. Naamini haitotokea tena.

Tuko mikono salama na Rais SSH
 
Mleta mada tu anajulikana Kama sukuma gang! Hana lolote zuri kwa Samia
I thought the best way to defend her is by being objective? With facts and references? Sukuma Gang inawajumlisha hata wasiokuwemo. Tuache hizi mambo ya makabila na dini za watu
 
Nyie S.gang ni watu wa hovyo sana. Magufuli alikua na vision gani?
Kujenga Chato!

Watu wanataka kumsukumizia lawama Samia kuhusu Royal Tour, hio kitu ni creativity yake mama inatakiwa mumpongeze jitihada zake.....👌👌👌👌👌👌amefikiria chanzo cha mapato sio kusubiri tuuu mabakuli km tulivyo zoea,,,,bwana yule ndio alikua anatutakia mema ila mnh not kwa kujenga Chato, yaani aliweka peupee kuwa serikali yake ni jeshi la mtu mmoja ,ngumu sana kufanya kazi na mtu wa hivi.. aisee wacha mama Samia afungue nchi
 
Chato ni nje ya Tanzania?
 
Huwa mnauliza maswali ya kijinga Sana aisee..

Ulipo hapo hata huelewi serikali imepanga kutekeleza nini hadi 2030 unadhani kila ni kuja na kutunga mambo yake tuu..
 
She knows not, that's for sure!
 
Ni sawa na kufikiri kwamba kila anayekosoa kiongozi wa ccm ni Chadema! Taahira mkubwa kama wa mwendazake
kwa sasa hivi ni vigumu sana kuwatofautisha CHADEMA na CCM ya akina KInana. Woote wako bize kupambana na MAITI
 
Head of state anazuru nchi nyingne for two weeks? Promoting utalii, that's damn dumb! Kwangu mimi hilo tu linaonyesha kuwa she's got no vision for the country.

Anyway, ni zamu ya wenye nacho kuongezewa, trust me...wanaongezewa kweri kweri!
 

ye mwenyewe haelewi we utaelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bahat nasibu hainaga mipango
 

kijijin kwako ndo yalifanyika hayo Tz hatukuyaona
 
hii nchu unatakuwa uwe mjjnga ndio uushi vzr. comment gani sasa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…