Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,384
Una hakika hakuna kusafisha nyota wala kuroga? Haya wee..Hatuangalii hayo tunataka raisi anaye jali watu
Aliyeua, kuteka wala kupiga watu risasi KISA anatofautiana nao mitazamo hatutaki.
Hatutaki raisi anateamuni kwenye maguvu, 21th unapeleka jeshi kupora watu korosho zao. Watu ambao hujawasaidia hata kufyeka unyasi huyo hatutaki.
Hatutaki raisi anayeamini kwenye ULOZI. yaani ugonjwa kama Covd 19 yye alisistiza watu wajifukize hatutaki.
Raisi anayebagua watu kwa ITIKADI ZAO ZA KISIASA. eti hapeleki maendeleo KISA tumechagua mpinzani hatutaki
Asiyeheshimu chaguzi. Wananunua watu waliochaguliwa kisha anawarudisha hapohapo. Hatutaki.
Note:
Anyekerwa sana aufuate ushauri wa ZITTO Kabwe
Acha bongo movies hata akiwa bongo flavor tunataka raisi MTENDA HAKI.
Asante mungu
Kwa wapumbavu kama nyie!Hatuangalii hayo tunataka raisi anaye jali watu
Aliyeua, kuteka wala kupiga watu risasi KISA anatofautiana nao mitazamo hatutaki.
Hatutaki raisi anateamuni kwenye maguvu, 21th unapeleka jeshi kupora watu korosho zao. Watu ambao hujawasaidia hata kufyeka unyasi huyo hatutaki.
Hatutaki raisi anayeamini kwenye ULOZI. yaani ugonjwa kama Covd 19 yye alisistiza watu wajifukize hatutaki.
Raisi anayebagua watu kwa ITIKADI ZAO ZA KISIASA. eti hapeleki maendeleo KISA tumechagua mpinzani hatutaki
Asiyeheshimu chaguzi. Wananunua watu waliochaguliwa kisha anawarudisha hapohapo. Hatutaki.
Note:
Anyekerwa sana aufuate ushauri wa ZITTO Kabwe
Acha bongo movies hata akiwa bongo flavor tunataka raisi MTENDA HAKI.
Asante mungu
Woyo woyooo. Za kichwaWhen your elevator doesn’t go all the way up to the top, you resort to stupid and silly one- liners like that.
Ni sawa na kufikiri kwamba kila anayekosoa kiongozi wa ccm ni Chadema! Taahira mkubwa kama wa mwendazakeKwa wapumbavu kama nyie!
Kufikiri kwamba kila anaekosoa anakosoa kwa ajili ya kumtetea Magufuli ni utaahira mkubwa!
Naona umeipenda dudu ya huyo jamaa….
True Said mkuu.When your elevator doesn’t go all the way up to the top, you resort to stupid and silly one- liners like that.
Bhebhe nkoyi, kariaga hapo kwanza nitakupa hell ukaleNaona umeipenda dudu ya huyo jamaa….
Kadange basi 🤣
Kuitangaza nchi kimataifa kuna manufaa gani?Kuitangaza nchi kimataifa
mmmmmhhhHana, kwanza swali lilipaswa kuwa how did she come to power ? Yuko kwa ajenda maalumu na siku zinvyozidi kwenda mtaanza kuona, hata huko US alienda kwa ajenda maalumu hiyo filamu mnazugwa tu.
Kwa nini hana sympathy wala empathy au hata respect tu kwa Raisi aliyefariki ambaye walifanya wote kazi kwa miaka zaidi ya 5? Hata tu basi for Magufuli‘s Family ? Kwa nini unafikiri ?
Magufuli alimkosea nini kikubwa kiasi hicho kumfanyia anavyomfanyia hata baada ya kufariki tayari?
Ni NWO Agenda na Tanzania inageuzwa Guinea pig, experiments zote zitafanyiwa Tanzania.
Muda siyo mrefu Experiments za akina Bill Gates zitaanza Tanzania, ebola viruses, corona viruses &co.
Moja kati ya Globalist Agenda ni Human depopulation, au kupunguzwa watu kwa nguvu, na hiyo inakuja.
Pure evil!
Magufuli alitengeneza kiazi Cha hovyo sana Cha kisukuma. Within just 6 years, but the damage was real.Nyie S.gang ni watu wa hovyo sana. Magufuli alikua na vision gani?