What does your homescreen of smartphone look like?

samahani mkuu ningependa kujua unatumia aina gani ya simu,na hyo UI/skin ni native au custom?
Mkuu hiyo ni tweek tu ambayo unaweza fanya iwapo Simu yako ipo rooted, utahitaji xposed installer, xposed framework na flat style status bar
 
sawa mkuu simu yangu iko rooted,hizo xposed nazipata playstore au ni google apk?
Xposed installer utaipata XDA sema simu yako pia inatakiwa kuwa na custom recovery ili uweze ku flash exposed framework, na simu isiwe android version 7.X.X
 
Xposed installer utaipata XDA sema simu yako pia inatakiwa kuwa na custom recovery ili uweze ku flash exposed framework, na simu isiwe android version 7.X.X
mkuu simu nili iroot kwa kingroot app sasa sijui kama hyo custom recovery itakuwepo.na hapa wamenipa onyo la soft brick
 
Age:21
Occupation:univ student
Residence:Moshi
Natonalitity:TANZANIA
 

Attachments

  • TMPDOODLE1501649880838.jpg
    127.3 KB · Views: 59
!
!
Age: 34
Gender: Male
Nationality: Tanzanian
Occupation: Confidential
Location: Mbeya
 

Attachments

  • Screenshot_20170804-143648.png
    599.5 KB · Views: 52
name:mtaule mgunda
Age:21
Nationality:tanzania
Gender:male
Occupation:university student
City:songea
 

Attachments

  • IMG_20170802_135122.jpg
    99.1 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…