Na bora umuambie uanaume uko automatically, hautafutiwi validation.Mwanaume haukumbushwi kuwa wewe ni mwanaume ukiona mwanaume unakumbushwa kuwa wewe ni mwanaume basi ujue kuna shida.
You have to earn it, trust me!Na bora umuambie uanaume uko automatically, hautafutiwi validation.
Most people are so delusional mkuu, and they just project insecurities instead of actually facing the matter head on.You have to earn it, trust me!
No no no hiyo unasema wewe Mkuu.The implication of you saying that statement was like trying to neglect kuwa chanzo cha mwanaume kutokujua place yake ni kama kujitoa ufahamu tu...
😀 Mkuu unataka mimi nielezee kwa namna unayoitaka wewe. Me naona nimeeleweka labda kama unataka league na sipo tayari kwa hilo. .Sawa tuna nature zetu kama wanaume, ila na kuahidi mtoto akikulia mazingira ya mashoga, au mateja kuna kuwa na possibility kubwa ya yeye kuwa vile. Unaposema shida, unakosea, because hauendi kwenye root
Wewe maneno yako ya awali yalikuwa na mkanganyiko na ulikuwa na implication za kutaka kukwepa plain fact..No no no hiyo unasema wewe Mkuu.
😀 Mkuu unataka mimi nielezee kwa namna unayoitaka wewe. Me naona nimeeleweka labda kama unataka league na sipo tayari kwa hilo. .
Unasema unataka niende kwenye root sio? Sasa kama mzizi wa malezi aliyo kulia mwanaume kunashida kimalezi wewe uoni kwamba mwanume huyo badae atahitajika kukumbushwa kwamba yeye ni mwanaume kutokana na shida ya roots aliko lelewa.
Kijana anataka majibu anayo yataka yeye.Na bora umuambie uanaume uko automatically, hautafutiwi validation.
Hakika mkuu...Elimu pana kuhusu mwanaume haitolewi kwasasa mwanaume hajuwi maana ya mwanaume ni nin, enzi zetu tulikuwa tunakalishwa kwenye kikome (wasukuma wanajua namaanisha nin) unapewa mbinu, msiwalaumu hawajui wanalelewa na mama atajuaje misingi ya uanaume?.
Unakuta kijana wa miaka 25 hajui aanzie wapi amalizie wapi. ELIMU PANA ITOLEWE ILI WAJITAMBUE.
Ntakuwa msomaji kaka SanArtKama huna hoja, yanini usiwe msomaji?
Ni kweli nowadays kila mtu ni mshauri mitandaoni. Watu badala ya kuwa informed wamekuwa distracted tu.hapo kale utagundua izo stage zote zilikuwa genuine tofauti na ukisasa uliopo leo ndio maana wewe huwezi kuwa kama hao legends uliowataja japo wote ni wanaume lkn kuna a lot of changes hata wao ukiwalinganisha na kale kuna vitu vinapungua kwasababu uelekeo wetu sote ni ukisasa ambao unaathiri zaidi stage ya malezi.
Nani aliye kudanganya kufanya kazi ni kuteseka?Mtu mweusi anafikiri alikuja duniani kuteseka tu,ndiyo maana fahamu zake zinawaza ujinga tu, sifa ya mwanaume siyo kufanya kazi ngumu wala kutoka Jasho, yote tisa kila mtu aishi maisha yake kwa sababu matokeo ya kufanya au kutokufanya kazi ni ya muhusika mwenyewe.
Hapa umekosea.achana na hawa millenials waliovurugwa na maisha hawajui kitu..
Okay naenda ku edit mara mojaHapa umekosea.
Na imefanya hata nisitoe hoja zangu.
Hivi unajua millenials ni kuanzia 1981 - 1996.
Ni kweli hatuna kitu?.
Aaah, Sio kweli bro.
Kama nakumbuka vizur. Ulisema una miaka 30.Sisi ambao now tunataka uingie rasmi katika kuwa na familia, huku tukiishi maono yetu tunaomba footprints kutoka kwenu wazee, maana humu mko wengi mno...
Itakuwa vyema kama tukiweka ego pembeni na kuchukuliwa hii mada kama moja ya thread muhimu kwa ajili ya manufaa ya vijana waliopotea.