What does it take be considered an cc memember

Kwani lazima? Mbona wewe hutumii?


alaaaah........si nilisahau banaaa! asante kwa kuliona hilo!!!
ila sio lazima ingawa vinanoga kwa lugha yetu adhimu!!!
 
alaaaah........si nilisahau banaaa! asante kwa kuliona hilo!!!
ila sio lazima ingawa vinanoga kwa lugha yetu adhimu!!!

hahahaha, kweli kabisa. Chit Chat ingekua na kidhungu kama great thinkers mi ningehamia jokes na udaku
 
Mlachake, umemfanana sana rafiki yangu fulani tulifanya nae kazi zamani
Anaitwa Conny, (Sio Konnie kama Kongosho) pia anatabasam kama yako
Na kama unabisha muulize Kambaku atoe ushahidi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…