Kwa sasa, napenda msichana atakaetambua kuwa tuko Bonde la Mpunga, Dar es salaam, na wala sio Alberqueque, New Mexico, au somewhere in Hollywood.
Kifupi sipendi wadada waigizaji, kucha feki, kope feki, nywele feki, maisha feki, c'moon, mpaka feelings feki?
what do you expect from your galfrnd!!??Hapa mnadiskasheni kitu gani
we mphamvu wengi waspofanya hvyo huwa wabaya sa utampenda kwel!!??Kwa sasa, napenda msichana atakaetambua kuwa tuko Bonde la Mpunga, Dar es salaam, na wala sio Alberqueque, New Mexico, au somewhere in Hollywood.
Kifupi sipendi wadada waigizaji, kucha feki, kope feki, nywele feki, maisha feki, c'moon, mpaka feelings feki?
ila kwel waschana wa type hyo sku hizi ni adimu judgement!! na kama wapo bas wao pia hupata watu ambao sio type yao bas ful mvurugano!!That is totally wrong, try another ways
Naruhusiwa kufanya assumption kuwa huyo girlfriend ni princess enny hata kama tayari nina wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA?what do you expect from your galfrnd!!??
l need smart man like.......e.
wala huruhusiwi!! assumption za nini wakat cacico Yummy na BADILI TABIA wapo!!!!!!!!!???????????Naruhusiwa kufanya assumption kuwa huyo girlfriend ni princess enny hata kama tayari nina wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA?
we mphamvu wengi waspofanya hvyo huwa wabaya sa utampenda kwel!!??
we mphamvu wengi waspofanya hvyo huwa wabaya sa utampenda kwel!!??
Kumbe nilikuwa sijui bado kidogo nichangie! Asante Kaizer kwa kunijuza. ngoja nipite!eti hapa tusio na magalfriend tunaruhusiwa kuchangiii mwanawani?
Unataka nikuloge??afu wewe nikkikukamata, utanieleza kwa nini utamu wa ndizi unapatikana baada ya kuivua nguo!
Nsamehe mpenzi, leo nakuja na zawadi...afu wewe nikkikukamata, utanieleza kwa nini utamu wa ndizi unapatikana baada ya kuivua nguo!
ninayo basi?? i cant wait kuja pande zileeeeeee! ila naogopa ulinzi wangu, utanilinda kwa kule??Nipo nimejaa tele! lete mpya!