What do you miss about your ex?

Wazinzi nyie
 
Kwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest

Sijui wanajf wengine uwa mnamiss nini😉😉
Kumbe unanimiss, njoo nikugegede tena japo umeniambia mumeo anawivu ila usijali
 
Namiss kuambiwa "We endelea tu na vijichepuko vyako,hata unifanyie nini mi nakupenda ivo ivo"
Huyu wa sasa nakoma kumjua ila simwambii,yani nabanwa kiasi kwamba marafiki wanajua naumwa kumbe nimefungiwa ndani kwa wivu tu!!...sitamuacha salama huyu
Hahahahahaaaaaa
 
Ma-ex katika gander tofauti tofauti inaonekana ni watu wabaya sanaa,,
Maana hawasahauliki[emoji12]
 
Basi mtakuwa mnapendana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…