What do you miss about your ex?

Rudi kwake upige goti.. Kisha jipige pige kifuani ukitubu... Huenda akakuelewa
 
point kbs,kiujumla y ummis x wako mi hapana aic nahisg ashakuwa screpa aic m sorry
You welcome

Kukaa na kumfikiria X ni ukosefu wa mambo ya kufikiri au ndo anadhihirisha kwamba hawezi Pata mwingine kama X wake

The past is gone and it was only a lesson to make me stronger
 
Kwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest

Sijui wanajf wengine uwa mnamiss niniπŸ˜‰πŸ˜‰
Kumbe bado unanimiss njoo pm tukakumbushie zama
 
Me na miss kuoshewa vyombo tu na kupigiwa deki basi,, hayo mengine kiss, hug tunawaachia nyie wazungu, mnao miss hadi vivuli vya ma ex wenu
 
Sasa kwa nini msioane mkuu?
 
Me na miss kuoshewa vyombo tu na kupigiwa deki basi,, hayo mengine kiss, hug tunawaachia nyie wazungu, mnao miss hadi vivuli vya ma ex wenu
Hahahahaaaaa we kiboko yani umemiss kuoshewa vyombo na kupigiwa dekiπŸ˜€
 
hakuna maana y'fe amefunika makinikia yoteee.....mpaka nimejisahau kama nilikuwaga na x's....[emoji19] [emoji19] [emoji19] ...!!!..
 
You welcome

Kukaa na kumfikiria X ni ukosefu wa mambo ya kufikiri au ndo anadhihirisha kwamba hawezi Pata mwingine kama X wake

The past is gone and it was only a lesson to make me stronger

excactly...na mara nyingi unampata bora zaidi,ukitaka kumsahau x wako jitahd kukumbuka mabaya yake aliyokufanyia,ni ndani ya week tu ushamsahau...sijawah teswa na hayo maisha ya kipuuzi mm aic,
 
Sijawahi kummisi ex. Nikishafunga ukurasa nimefunga. Sana sana wao ndo hunimisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…