Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,114
- 9,280
Aisee ww ni mkali sana..naona umemaster kila kitu..
Duh... MIe hata sina jina, make mtu akiingia anatamka lolote wengi hata hawajuia title yangu.
Ila kuitaja mmmh lolest!!!
hhaha,
hakuna asiye na jina tuambia hata la utani wankuitaje?
lakini lazima liwepo maana barua yako ya kuajiriwa lazima ilikuwa na jina!
HAHAHAAAAAAAAAA....... Messenger!
Okay!
Still kama ni mtundu na Mjasiri unaweza kujifunza IT, Je ungependa kujifunza IT ?
hahahaaaa... IT naifahamu kiasi make nilipitia CISCO ila nikaingia chaka maana niliona inakula sana akili yangu. Saiv nataka biashara tu aisee!!!!!!!!
hahahaaaa... IT naifahamu kiasi make nilipitia CISCO ila nikaingia chaka maana niliona inakula sana akili yangu. Saiv nataka biashara tu aisee!!!!!!!!
Tatzo ukisoma IT watu wanajua unajua kila kitu cha ICT.
Proudly an ICT personnel
By the way katika maisha yangu nimegundua kuwa bora ningesoma degree ya uchumi au hata Finace na haya ya ICT ningejifunza tu au hata masters ningeweza kufanya ya ICT na bado ningetoka mkali tena moja kw amoja kwenye management.
All in all watu waliosoma fani nyingine wananafasi kubwa sana ya kushine kwenye ICT, Kuliko sisi tulio anzia huku kwenda kushine kwenye fani nyingine.