What do Women have to Offer in Bed? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What do Women have to Offer in Bed?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DALA, Jul 15, 2012.

 1. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 80
  Hello guys!

  I have a simple question which lingers in my mind evry now and again, whenever I walk in the streets of Dar es Salaam I get so embarassed and even ashamed when I see how our sisters are dressed, most of them are naked in the sens that the clothes they put on do not provide full protection of their privacy. This habit is however not nly in Tanzania but in many countries, I am compeled to ask this because I understand we men are sent crazy by our strong feeling of wanting to know the body of a woman younlove especially at the first sight. My question is, women having exposed all their boobs, thighs and even their most private parts publicly do we really have a reason to bring them to our bedrooms? What is so special that they offer then? Can't our women understand the value of their privacy in relation to sexual satisfaction? Can we conclude that all women who expose their bodies like that are prostitutes? I am just thinking aloud!

  With all due respect I submit my opinion and questions.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Who said we dress up so that u male species can undress us. Get real boy, our lives don't revolve around u guys, we have a purpose for our lives pia!

  U can call us all the names but we won't be what u call us just because u call us so!

  As for the title of ur thread; what do u men have to offer in bed?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kama 'unamaliza' kwa kuangalia tu basi una matatizo....mnh wenzako wanatouch,wananyonyana,wanagusanisha makojoleo ndio wanamaliza,na hayo yote yanahitaji privacy ya chumba.........:redface::redface:
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Unadhani unaweza kumshawish mtu avai kama kibibi wakati ni kijana....

  Mi kama si kimini sidhani kama ningekuwa nimeolewa.. Lol. Baba nanii ali fall baada ya kuona mguu wa bia kwenye disco la chuo.

  Ningevaa maksi angeuona???

  Hata hivyo wako wanaovaa kizee go for them kila mtu na taste zake.
   
 5. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 80
  Keep them coming sisters! I like your thinking though I would like to know what motivates your dress code! Kaunga could you explain more?
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mavazi yana umri ndugu. Tuache vijana wajinafasi.

  Mimi nilipokuwa kijana nilikuwa navaa nguo ambazo hata nikijicheki kwenye kioo mwenyewe najiogopa. Sasa nikitoka hao wengine nao lazima waisome namba. Hapo naridhika sana na sikuwa maharage ya mbeya wala... ila mavazi tu nilitesa nayo ipaswavyo.

  Ni kawaida sana hasa kama umezaliwa mujini kwenda na wakati.

  Na sidhani kama wanaume wote hawapendi hizo nguo za vijana.. including my hubby ambaye tunagombana sana nikiamua kuvaa nguo ndefu.

   
 7. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  What do you mean, private part. Clivage na vimini? au wanatembea uchi chabisa. maana ukisema wameexpose private part maana yake wanaweka sambusa hadharani. Mi sijaona hiyo (except kwa wale wanao tangaza biashara)
   
 8. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 80
  Sina taabu na miguu ya bia, tatizo liko kwenye kuzidisha kiasi cha kuonyesha maungo ya ndani jamani!
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Zaidi ya vimini kuna wanaotembea na bikini Tanzania? Mimi sijaona aisee.

   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  DALA l don't care about tatizo lako au la mtu mwingine, ninavaa ninavyojisikia na nilivyopanga; if l irritate u with that, go live in ur own world ambayo hautaishare na mtu mwingine.

  Let them be, mbona sisi hatudictate muishi vipi, muongee vipi au mbehave vipi. Una uwezo wa kumpangia mkeo au mwanao tu, the rest hauna uwezo nguvu wala mamlaka; kulaklama humu hakusaidii!
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kuna watu tumejipa vyeo vya ukiranja halafu kwa kuexaggerate hatuwawezi! Khah!
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  In black, it is 'revolve' and not evolve. In red, it should have been 'for' and not of. Thank you.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Exaggerate....
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa masahihisho yote hapo juu!

  Ila Kiswahili hujanisahihisha, sijui hukuona? LOL
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hehehehee nimeamua nianzie na Kizungu kwanza.
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  Kula tano NK ^^^^^ una mume poa sana...

  [​IMG]
   
 17. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo yote ni kuiga utmaduni ya kimangaribi , mimi naishi marekani sasa ni kipindi cha summer kunajoto. wadada wanavaa vitu vya aibu tena aibu kwani unaona ramani nzima ya sehemu ya nje ya uke wake. kwajinsi navyoona baada ya miaka mingine kumi watu watatembea bila nguo.means necked na sisi wa bongo ndiyo tunaiga. tuaishi pabaya kisa kila mtu anauhuru wa kuvaanacho hisi nisahii kwake. sawa yetu macho
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Point of correction, hii minguo tuvaayo ndio ya kimagharibi; sisi tulikuwa tunavaa vitu kama vibikini coz hali ya hewa inachangia.

  Nanyi mbona mkivaa hata suruali madushelele yenu yanaoonesha hatusemi mvae magauni (kanzu)?
   
 19. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  dala weka picha za watu mbumbilo nje nje. . .all I know women find self satisfaction in exposing more of their skin it's nice and nothing so 'bitchy' about it. Real african culture is even more than that. What do you say ladies?
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Amen! Like! Like! Like! Like!
   
Loading...