What do Women have to Offer in Bed?

Who said we dress up so that u male species can undress us. Get real boy, our lives don't revolve around u guys, we have a purpose for our lives pia!

U can call us all the names but we won't be what u call us just because u call us so!

As for the title of ur thread; what do u men have to offer in bed?

A p.e.n.i.s
 
So Neema u feel proudly to be naked? Au unamaanisha nn? Mambo ya mahusiano sio chumban bali general habits also inahusika
 
Sombdy nyumba kubwa and others like u! You are so down and shallow in case of moral values and also obvious you uses feeling rather than awareness in your daily operations.
 
hayo yote ni kuiga utmaduni ya kimangaribi , mimi naishi marekani sasa ni kipindi cha summer kunajoto. wadada wanavaa vitu vya aibu tena aibu kwani unaona ramani nzima ya sehemu ya nje ya uke wake. kwajinsi navyoona baada ya miaka mingine kumi watu watatembea bila nguo.means necked na sisi wa bongo ndiyo tunaiga. tuaishi pabaya kisa kila mtu anauhuru wa kuvaanacho hisi nisahii kwake. sawa yetu macho

Mimi naona wazungu wamewaiga waafrika kuvaa nusu uchi, coz kumbukumbu za kihistoria zinaonesha kwamba wakoloni walipofika nchi hizi za kwetu, waliwakukuta machifu wakiwa nusu uchi, na raia wakiwa uchi kabisa nao wakaiga wakidhani tulipenda hali hiyo kumbe ilikuwa ni lack of technical know how. Hata hata hivyo adam 'n eve pia walikuwa nusu uchi covering only the confidential parts using bush leaves.
 
Kwahiyo unaona nisahihi kuvaa nusu uchi? ila hili nijambo la binafsi zaidi kama kutembea uchi kwako ni sawa endelea hivyo hivyo. kwani hata vitabu vitakatifu yanasema kama unatenda dhambi endelea kutenda dhambi tu na kama unatenda mema pia endelea hivyo hivyo kwahiyo yote mawili yapo mikononi mwako; uzima wa milele au kufa milele.
vikwazo lazima vitokee ila ole woa wanavyo visababisha vivyo vikwazo niafadhali wangefungiwa jiwe la chumvi na kitoswa baharini. tafakari
 
wanaume bana sijui kipi huwa kinawafanya kujiona ni bora zaidi ya wanawake,wakivaa pensi na kutembea barabarani kwao ni sawa, akivaa hivyo hivyo mwanamke kapoteza maadili, mmh
 
DALA l don't care about tatizo lako au la mtu mwingine, ninavaa ninavyojisikia na nilivyopanga; if l irritate u with that, go live in ur own world ambayo hautaishare na mtu mwingine.

Let them be, mbona sisi hatudictate muishi vipi, muongee vipi au mbehave vipi. Una uwezo wa kumpangia mkeo au mwanao tu, the rest hauna uwezo nguvu wala mamlaka; kulaklama humu hakusaidii!
Kaunga sikuwa nataka kucoment kwenye huu uzi but hoja yako hii imenigusa. Hivi jamani mwanamke hana uhuru dah! yaani akivaa shida asipovaa shida. akipendeza shida asipopendeza shida lol.

kama hawatak watafute ulimwengu wao watuache jamani mbona wao wanavaa kata k huwa hatusemi?

binafsi tight ndo mwake na mwa moyo anasema kabisa pigilia hii na top ya nguvu kisha nata vibration utanikomajee? japo bbc lakni nimo atii. wawaache wanawake wapendeze kwa raha zao.
 
Last edited by a moderator:
vi babies vya siku hizi vinavaa vile sababu vingi vyao havili vizuri sababu havina nyama....Vikivaa vile angalau unapata kuona nyama nyama hasa supu za mapaja.

Si unajua tena mnyama yoyote kama mapaja hayavutii anakuwa hana market :bounce:
 
kama 'unamaliza' kwa kuangalia tu basi una matatizo....mnh wenzako wanatouch,wananyonyana,wanagusanisha makojoleo ndio wanamaliza,na hayo yote yanahitaji privacy ya chumba.........:redface::redface:
mmmhh, we dada tumia tasifida kidogo du! Kavukavu namna hiyo....!!!
 
Who said we dress up so that u male species can undress us. Get real boy, our lives don't revolve around u guys, we have a purpose for our lives pia!

U can call us all the names but we won't be what u call us just because u call us so!

As for the title of ur thread; what do u men have to offer in bed?

my love Kaunga, mie navaa ili uni undress ww, hasa tunapoenda kuoga wote.

achana na huyu mtoa mada, hajuwi kuwa sex hata mkiwa ndani ya nguo inafanywa tu!

umevaa baibui na unaenda na jamaa kichochoroni mnafanyana hapo hapo. to hell with mtoa mada.

alafu naona Nyani Ngabu is reading maneno yako word to word. is he in love with u?
 
Last edited by a moderator:
Mavazi yana umri ndugu. Tuache vijana wajinafasi.

Mimi nilipokuwa kijana nilikuwa navaa nguo ambazo hata nikijicheki kwenye kioo mwenyewe najiogopa. Sasa nikitoka hao wengine nao lazima waisome namba. Hapo naridhika sana na sikuwa maharage ya mbeya wala... ila mavazi tu nilitesa nayo ipaswavyo.

Ni kawaida sana hasa kama umezaliwa mujini kwenda na wakati.

Na sidhani kama wanaume wote hawapendi hizo nguo za vijana.. including my hubby ambaye tunagombana sana nikiamua kuvaa nguo ndefu.

Wewe nawe umeniboa na comment yako. Sorry niko kama nimepoteza ma temper (lost ma temper). Kama sio huu utandawazi, namaanisha enzi za mama zako na baba zako ungekuja na comment kama hii. Sikutaka ku-comment hii thread ilikua nisome tu watu walichoandika lakini nimeona niandike tu chochote kuhusu ulichoandika. Nothing personal hapa. I am just trying to get ma feeling heard.
Kama nimekukwaza nisamehe
 
how does one ask that??what do women have to offer in bed??have you ever been with a woman??waulize wenzio watakwambia what women have to offer in bed!otherwize try one of those scantily dressed babes and see for yourself!wink
 
Ndugu mama yangu amevaa mini ambayo mimi sijawahi kuvaa. Ndio maana nimesema inategemea umezaliwa na kukulia wapi.

Miaka ya 60s kulikuwa na utandawazi huu tulonao..? Umeshaona picha za vijana wa miaka hiyo?

Kama hampendi mini kuna other options... go for them.

Tena wakati huo wasichana walikuwa wanapiga picha black and white studio.. mama yangu alikuwa anapiga mini za nguvu. Na ndio maana pamoja na kuwa tulikuwa na mama mkali sana.. hakuwa na mbunge when it comes to mavazi

Mini zilivaliwa enzi hizo hata kabla ya uhuru na sisi tumevaa na zitaendelea kuvaliwa... Hata kama ni ngumu kwa wengine kumesa.

Wewe nawe umeniboa na comment yako. Sorry niko kama nimepoteza ma temper (lost ma temper). Kama sio huu utandawazi, namaanisha enzi za mama zako na baba zako ungekuja na comment kama hii. Sikutaka ku-comment hii thread ilikua nisome tu watu walichoandika lakini nimeona niandike tu chochote kuhusu ulichoandika. Nothing personal hapa. I am just trying to get ma feeling heard.
Kama nimekukwaza nisamehe
 
Erotica dear, nimemissije kukuundress, halafu ninahamu ya kukipapasa kitumbo na kuviimbia vitwins vyetu; they must have missed my voice!

Nyani Ngabu ananipiga twisheni ili anivushe kumsaidia box! LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom