What Do U See?

What Do U See?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1665352_IMG_1070713213979_jpeg10c80e5bc62319dce0ac9055a341a474
 
Zinduna hao dolphins wapo seven na sio nine?

Wapo tisa.
  • Kichwani kwa mwanamke, aliponyanyua mikono, wapo watatu (wakubwa wawili na mdogo mmoja kati)
  • Katikati wapo watatu (mmoja yupo titi/kwapa la kushoto, mmoja tumboni/kifua na mmoja titi/kwapa la kulia)
  • Kwenye papuchi/kinena yuko mmoja
  • Kwenye kiuno (kushoto kwa picha) yuko mmoja na kwenye kalio (kulia kwa picha) yuko mmoja
Tazama makini, utawaona wote tisa
 
mimi bila mleta picha kutaja dolphins nisingewaona.
 
Nili overlook bwana wewe, Dolphin mwingine yuko Takoni.............
Zinduna hapana bana, najitahidi kula karoti, hawa wapo seven, umenilazimisha kuamini wapo nane haya tuishie hapo wapo nane na sio tisa
 
Last edited by a moderator:
Da Zinduna watu ni wabunifu...nimetizama saaana ndo nikaona dolphins kila mwanzon niliona mwanamke kashikwa kimahabat
 
Last edited by a moderator:
This is good. nimechukua mda mrefu kuwaona. I will save this photo
 
Me pia Sijaona chochote zaidi ya hao watu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Dadaangu umenifurahisha, hebu tizama pembeni ya hivyo vichwa vyao huku ukifikiria samaki au Dolphin!
 
Back
Top Bottom