What do u know about ip adress | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What do u know about ip adress

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Dec 25, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wenye uelewa kidogo wa mambo computer network nadhani tunajua umuhimu na IP address. Iwe ni LAN ,WAN au WWW basi ili pc ,simu au kitu chochote kiunganishwe na internet basi lazima iwe na Internet IP address.

  Nilikuwa najaribu kujikumbusha hii subject kwa kusoma online nikaona ni bora nilete changamoto/ maswali niliyokuwa nayo tulimishane na kukosoana kwa pamoja.

  Nimeweza kupata majibuya badhi ya mambo lakini mengine yamenitatizoa naleta hapa kwa ajili yakushaena kuelimika zaidi


  1. What is IP ?
  Two Core functions of ip are identification and location addressing.
  Read IP address - Wikipedia, the free encyclopedia

  2. Difference between IPv4 and IPv6

  Major difference is Total addresses are available in each version
  IPv4 is 32 bits it can support up to 2 power 32 = 4,294,967,296 adresses
  IPv6 is 128 bits, can support up to 2 power 128 =340282366920938463463374607431768211456

  This show that there will be more tha enough internet address in IPv6 for every device/node

  I was reading some articles and failed to understand when they say IPv6 will be more secure than IPv4. HOW??? Any one with better explanation help me

  3. Who is responsible for allocation of Iinternet IP Adress globally

  The name of anorganisation is called IANA . Read
  IANA — About the Internet Assigned Numbers Authority
  Internet Assigned Numbers Authority - Wikipedia, the free encyclopedia

  Changamoto

  1.How many IP v4 address is Tanzania Allocated. and how many have we used.?

  Je taarifa hizi ni sahihi
  Country IP Blocks » Select Formats
  Major IP Address Blocks For Tanzania wanaonyesha tumepewa address 90,112. Rwanda wana 151, XXX.( Major IP Address Blocks For Rwanda) wametuzidi

  2.When will IPv6 start being used officially or when will IPv4 stop being used.?


  3. How is it possible for one Internet IP adress being used by more than computer /mobile
  phone.What is technology /technique behind ?


  4. Do u knowthe IP adress used by your mobile phone/Modem? If so do u know who is the ISP to your Mobile phone company ?


  Karibu kwa nyongeza , kukosoa kurekebisha, kuelimishana kuhusu IP adress
   
 2. smati

  smati Senior Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngija nikaperuse kwanza, ila maada poa sana.
   
 3. edjizzo

  edjizzo Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikia kaka internet ilianza kutumika jeshini uko marekani mpaka sasa ina tumika ulimwengu kote wanao shikilia service hii ni malekani kwa hiyo makampuni makubwa ununua service kupitia shirika hilo kwa afrika tuna tegemea mfano afrika net ,benson kwa tanzania kwa hiyo hii upa kama vodacom,tigo na wengine wengi hawa wanao nunua wana kuwa wana tumia code kwa mfano code ya tanzania 256 ambayo ina pelekea kumpa kundi la wa watu wanao pata service ya internet nchii hiyo kuwa na ip address kama unavyo ona una tumia p.o box yako ikiwa na code ya tanzania asante
  edjizzo@yahoo.com
  www.chizicomputer.blogspot.com
  0712484995(chizicomputer)
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nisiwe mnafiki 99% ya uliyoandika ama hayaeleweki au hayana ukweli . Kwa hiyo uwe unapata muda wa kusoma na kujaribu kuelewa unachopost . Mfano

  • internet ilianza kutumika jeshini uko marekani. Ni kweli
  • wanao shikilia service hii ni malekani- hii si kweli
  • makampuni makubwa ununua service kupitia shirika hilo- service gani hio mpaka zinunuliwe marekani
  • wengi hawa wanao nunua wana kuwa wana tumia code kwa mfano code ya tanzania 256 ambayo ina pelekea kumpa kundi la wa watu wanao pata service ya internet nchii hiyo kuwa na ip address kama unavyo ona una tumia p.o box yako ikiwa na code ya tanzania asante- Kwanza Code ya Tanzania ni 255. na si 256 na sijakuelewa ukisema kununua internet unahitaji international dialing code.

  Pia uwe unajaribu kuweka vituo kwenye maelezo yako ili utusaidia sisi wenye vichwa vigumu kuelewa.

  Otheriwise nimeona kuna thread ulianzisha unalalamika kuwa tunapondana.
  Kwa style hii nakuhakikishia usishangae kukosolewa./kupondwa.. ....As long as mtu anakuponda au kkukosoa kwa kukupa +ve challenge basi hiyo inakubalika
   
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Halafu Eddy ondoa Email yako kama unataka usalama wa email hiyo. La sivyo utakuwa zawadi kwa spammers :hungry:
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Du nilivyo na aledge na mambo ya computer, nimetoka kapa
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  IPv6 ikitumika kwa kia kifaakinachtumia internet basi then hata mambo ya tracking na tracing yatakuwa rahisi zaidi kuliko ilivyo sasa. Maana kwa IPv6 kila equipment itakuwa ina uniques internet IP adress
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  mi naonaga tu ma mod wanasema wanafunga IP Adrress.
  Walimfungia Rev. Masa alilia huyo, mweee
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaa na usiombe Invisble akupe hoyo BAN utakula kwa macho hutaiona JF kwenye computer yako
   
 10. j

  junior05 Senior Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa ufupi
  Ip address ni namba zenye bit 32,zilizo kwenye mfumo wa 1 na 0,namba hizi hutolewa big internet service providers(Tier1) wao wanawauzia (Tier2 au Tier3) pia ni ISP lakini walio mbali na internet backbone,so public ip zinazotolewa ndizo wateja hutumia kutoka kwa local ISP wako, na kama watumia shared bandwith kuna kitu kinaitwa NAT(hiki huwezesha private ip kushare public ip,b'se outage ya public ip)
   
 11. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi huwa naona mi-namba tu imeandikwa. Kwa mfano nikitaka kutengeza LAN ya PC 5 nitumie vigezo gani kuandika hizo number??
  IP
  Subnet mask
  gateway na
  prefered DNS server
   
 12. j

  junior05 Senior Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Good,sasa itategemea kama una mpango wa baadae kuongeza zaidi PC zaidi ya hzo 5,tumia Classfull Class C network,192.168.1.0
  subnet mask 255.255.255.0,
  default gateway(exit interface ya hzo pc zako kwa jina lingine) itakuwa 192.168.1.1
  Kuhusu DNS-hyo ni kama ukiweka website i.e Google pawe na dns server itakayobali Google to repective ip address sasa mawili kama hyo dns server huna unaweza tumia uliyopewa na local ISP,if u can't even get that u can search for free DNS ip
  Nadhani hii ndio njia rahisi mana hyo nyungine inahitaji uelewa na iko complex
   
 13. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Somo zuri, swali zuri angalau inawapa watu kushughurisha akili zao na wenye ufahamu mzuri wanakuja na majibu muafaka, that's why I love JF, tunapata elimu pia. Si mtaalamu sana wa mambo hayo japo nayaelewa kwa kiwango changu, wacha nifuatilie mijadala ya waliobobea kwenye hii kitu.
   
 14. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaa! i think inawezekana rwanda wakatuzid maana wanatumia computa zaid yetu, imagine kama kila mwanafunzi kwao kapewa komputer watoto wa shule za msing wamepewa zipo kama midoli vile
   
 15. d

  doracute Senior Member

  #15
  Sep 2, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Ip means internet protocol.If we want to communicate two or more system we need a ip address. Each system has unique ip address. ip address consists of 4 bytes seperated by dots. Your IP address is assigned by an ISP or by yourself.Here's an example of what an IP address might look like: 192.168.1.1 .

  Two types of ip address we are using:
  1) Internal ip address
  2) External ip address
  If you want to check your internal ip address on Windows use the following methods:
  1)start->Run->cmd->type ipconfig
  2)If you want to check your External ip address you can visit this site Ip-details.com
  Here you can search ip,IP Location,Country,Latitude and Longitude details and etc.
   
Loading...