Wewe I.... jina lako gumu nimeshindwa kuandika. Kila mtu anakila kitu anachokipenda nikwambie usione mtu anazimia akipenda baunsa ukadhani wote aakkk wapi au mtu mweupe mmmmhh si kweli sasa wewe nikwambie wanawake wana vitu vyao mfano: Pesa, Gari, kazi nzuri, Ubaunsa, Garden Love na mengine meeengi ambayo huwezi kuyadiscuss hapa!! Wewe jinsi ulivyo ndivyo mwanamke atakavyokupenda kuna wengine hata hupenda eti mwanaume mfupi anaenjoy au waregu aaahhh mengi bwana jikubali ulivyo utapendwa tu au sio Iju.....