"What did you expect?"Ninavyojua mimi kukitokea tatizo kwenye vyombo vya usafiri (angani na majini) wale crew huwa watu wa mwisho kutoka kwenye chombo...hii ya juzi nilisikia walikuwa watu wa kwanza kutoka... hapa sijui wanatupa picha gani...
"What did you expect?"
- crew katika luninga walionekana wamevaa bagrashia na ndala badala ya kuvaa kama wanabaharia
- meli ni kama chuma chakavu na haileti matumaini kama kweli ni ya abiria
.
Na mwingine yupo DUBAI labda ndo anatoa shuti kwa Vigogo wa Serikali znz..WHAT DIDI U EXPECT?mmojawapo wa wamiliki ni mbunge wa ccm
what did u expect!