What best lesson you learned from your father

Wanawake waliolelewa na kuupata upendo wa baba huwa ndoa zao wanajaribu kuzi maintain sana
 
Coca nimi nina siri zako nyingi sana, ningeamua kusema majukwaa yote humu yangetingishika😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usinichekesheee, siri zangu uwe nazo wee??
Humu JF hakuna mwenye siri zangu, hata wale wa karibu yangu humu hawana.

Hizo ulizonazo ni fekerooo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baba bora kabisaa huyu, ni km wangu pia.
 
Hongera sana ulikuwa na the best Papa πŸ‘¨
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usinichekesheee, siri zangu uwe nazo wee??
Humu JF hakuna mwenye siri zangu, hata wale wa karibu yangu humu hawana.

Hizo ulizonazo ni fekerooo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Story zako za huko chimbo kwako zote tunazo😁😁
 
Story zako za huko chimbo kwako zote tunazo😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo unapotea kabisaa.
Hakuna anayejua kuhusu chimbo humu.

Ila mie nina mastory ya watu humu km wotee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tena mengine wanayaleta wenyewe wahusikaaa,
Siku nikikaa vibaya, nashusha mdo mdo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tena mods waondoe ban kabisaa, ha-ha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Can u imagine, nina PM toka ya kwanza wakati najoin JF hadi leo hii ipo, huwa nazisomaa, nawatazama wajaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naishia kuwastahiii.

JF ni poriii, sio kichaka tenaa. Lol
 
Muongo hauna file wala folder, mikwara tuπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…