Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,431
- 154,876
hii kiboko, kumbe na Rejao nae ana nukuu makini
Harry Truman is attributed as having said that earlier, let's not missattribute.
hii kiboko, kumbe na Rejao nae ana nukuu makini
mkuu kuwa serious,hii ndo favorite quote kwako?"wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi'
Maisha ni vile unavyoishi,inakubidi uwe mbishi~ joseph mbilinyi( Sugu )
"unaniulza kuhusu mgao mie ndio mvua" JK
"kigoma kugeuka kuwa dubai" JK
"wanasema nasafiri sana nisiposafiri watanzania watakufa kwa njaa"JK
"wapo wanaobeza maendeleo wakati wanaona magari mengi barabaran" JK
"Na mke mmoja na watoto kadhaa" JK