What are the advantages of beaning a sea man

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,820
1,225
Bwana mambo ya zamani hayo useaman. Utaishia kufa baharini utupwe huko huko, pesa siyo ya hivyo bwana, tabu kuwa na familia ya msimamo maana unakuwa mbali na nyumbani zaidi ya miezi, hii ni kwa wale wanaofanya international waters.
 
Top Bottom