waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,746
Nami nimejua jana baada ya kuangalia, sikuwa najua kama mb's zangu nyingi huishia instagram mwanzoni nilijua YouTube ndio unimalizia mb.Bro unamiliki page ya udaku insta? Sio kwa kuipiku whatsapp hivi.
Instagram nime follow pages nyingi za sports highlights na comedy nahisi ndio sababu, sina Account yoyote tofauti na yangu mara ya mwisho kupost instagram ni dec 2018 .