What Antivirus is runing in your System?

Nilazima kujua kuwa hakuna dawa inayoweza kutibu kila ugonjwa nyaki zote
anyway jaribu eScan uone
 

Mkuu ungeandika kwa Kiswahili naamini ungeandika lugha nzuri kabisa,kuliko hiki "kizungu".
 
Mkuu ungeandika kwa Kiswahili naamini ungeandika lugha nzuri kabisa,kuliko hiki "kizungu".
Atleast amejaribu. Next time he will be better. Mtoto hazaliwi na akaanza kutembea. Don't be pessimist towards your fellow.
 
yani kwa kweli sikumbuki last time nimesumbuliwa na virus. nawekaga antivirus basi tu. Ukijua nini cha kufanya walaaa virusi sio tatizo...

mie kwenye desktop nna avast antivirus pro. kwenye laptop nna avg internet security

ipi the best kati ya hizo unazo tumia mkuu?
 
natumia AVG more than four years
 
toka nigunduage securit esential virus wamekuwa sio tatizo kwangu.,b4 nilikuwa natumia avg niliipenda pia nw natumia window 8 sina haja na antivirus natumia window defender.
 
At first, Nlikuwa nnatumia NOD32. It's a very good. Anti Virus I ever seen. Ilipo xpire nkaitafuta nkaikosa Madukani lakini kama Ningelikuwa na enabled Online Credit Card, ngeliweza kurinyuuu my Subscription. Saivi nmehamia vya bure Japo ya bure ni ghali(Microsoft Essentials) sijaona ubaya wake sema tu haina features nyingi kama Commercial ones.
 
Nazidi kujifunza kitu.
Watu wengi wana uzoefu wa kutumia antivirus zaidi ya moja(including me).Na hapa kila mtu anaona ya kwake ni superior kuliko ya mwingine.Lakini mwisho wa siku bado tunao viruses wengi tu mtaani,regardless umakini wa hizi antivirus zetu! Nahisi sasa nakaribia kujua kwanini jamaa yangu aliniambia "Ukiona mtu anahangaika na majina ya antivirus kwa ajili ya windows,ujue hajui alitendalo!"
 

umenena vyema mkuu, mi natumia microsoft security assentia takriban mwaka wa 5 na wala sijawahi kufikiria kubadilisha.
 

Hajui bro hata mimi nikipata program yenye maelezo hayo ya kudisable antivirus huwa naachana nayo. Yaani Comodo internet security inazilamba kama haina akili vile.
 
Eset Smart Security 7 my best
 
kwa upande wangu
nilizotumia na ninazotumia ni 3 tu.
1.avast
2.eset nod
3.pand cloud

hzo zingne sitaki hata kutumia kwani kuna baadhi ziliwahi kunipa hasara
 

Kiswahili kingesaidia sana, Kunamakosa mengi ya Uandishi kwenye Maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…