Ngoja tuone😄😁😁😁
Haya 😂.Ngoja tuone😄😁😁😁
Tusha enda sana pale na hakuna kitu tusha fanyiwa
Kabisa😁😄😃😃😀Fist half tu, kijana anabeba mpira wake. Hata ile penalty angemaliza tu mwenyewe 🤣🤣🤣 hallah Santiago
Ni fireHalaaa Madrid 🔥
Ni jambo la kusubiri na kuona.Tusha enda sana pale na hakuna kitu tusha fanyiwa
Football venye anacheza Man City ako very possessive, so anything can happen.Iyo wongo, Madrid ziyo muchezo, nayenda kuchukwa 16th champions League trophy