Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Nov 22, 2013 #1 Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 Nov 22, 2013 #2 Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi
Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Nov 22, 2013 Thread starter #3 phill said: Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi Click to expand... Au mtori wa moto, chapati mbili, pepsi barrrrrdi na uhai chupa kubwa
phill said: Supu ya kichwa cha mbuzi na maji ya kilimanjaro chupa kubwa,then tusker bariidi mbili halafu mdogomdogo kwa ofisi Click to expand... Au mtori wa moto, chapati mbili, pepsi barrrrrdi na uhai chupa kubwa
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Nov 22, 2013 #4 pale kahawa na maziwa, jumla ya sandwich aliyotengenezwa na mama mtu, na juice ya mango, saaafi karibuni baasi!
pale kahawa na maziwa, jumla ya sandwich aliyotengenezwa na mama mtu, na juice ya mango, saaafi karibuni baasi!