Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,463
- 9,152
NchimbiHapo kuna chaguo la Msoga?vinginevyo wote msafara kenge
Agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040 ni Dr Emmanuel John Nchimbi.Wakuu,
Hii picha imepigwa Leo Chato kwenye mazishi ya Mama mzazi wa The Late John Pombe Magufuli Bi Suzana
Hii picha upande wa Kiroho inakuonesha kabisa katika hio circle Kuna mmoja ni yeye
Lakini wahenga wanasema Kwenye msafara wa Mamba huwezi kumkosa Kenge
SAWA.Wakuu,

Kakurwa, Wasira?Hapo kuna masnitch kama watatu Kakurwa Nchimbi sio kuaminika na wasira
Hio Protocol haijapangwa ila mradi tu, Imepangwa kimkakati, Hio Protocol inatuma ujumbe FulaniNaomba kuuliza Hivi Dotto Biteko anapewa treatment za Waziri Mkuu msataafu.?
Ukishasikia "kiroho" tu, ujue famba.Wakuu,
Hii picha imepigwa Leo Chato kwenye mazishi ya Mama mzazi wa The Late John Pombe Magufuli Bi Suzana
Hii picha upande wa Kiroho inakuonesha kabisa katika hio circle Kuna mmoja Ni YEYE
Lakini wahenga wanasema Kwenye msafara wa Mamba huwezi kumkosa Kenge
Mkuu kiranga Wewe tunajua fika mada zinazohusu Issue za Kilimani au Kiroho huwa huziamini Lakini watu Wana macho makali sana ya kuona mbaliUkishasikia "kiroho" tu, ujue famba.
Hiyo roho yenyewe huwezi kuthibitisha ipo.Mkuu kiranga Wewe tunajua fika mada zinazohusu Issue za Kilimani au Kiroho huwa huziamini Lakini watu Wana mambo makali sana ya kuona mbali