What a man have to do to win a woman

What a man have to do to win a woman

KIUNGOMCHEZESHAJI

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
120
Reaction score
255
Wanaume wengi siku hizi especially rika la vijana wanapatwa na wakati mgumu sana wa kumpata mwanamke ampendaye. Vijana wengi mahusiano yao hayafiki mbali, kama ni shuleni au vyuoni wengi wao mahusiano huisha mara wamalizapo masomo. Ni wachache wanaofanikiwa kusonga mbele hadi maisha ya ndoa, na wengine hata wakioana bado kudumisha uaminifu ni kazi kubwa sana. Sababu kubwa ni kuwa akina dada wengi wanapokuwa katika mazingira ya shule/chuo focus yake ni kumaliza masomo yake. Changamoto anazokutana nazo huko humfanya ajiattach kwa mwanaume ambaye anamuona atamfaa kimasomo au kifedha. Ndio maana akina dada wengi wanapokuwa vyuo wanachukuliwa kirahisi na watu wa mtaani au walimu wao.

Wanaume wengi wasio na malengo ya kuoa (ambao wanahitaji just a fan and leave) na ambao wana pesa siku hizi ndio wanaofaidi kumpata kirahisi mwanamke amtakaye kwa sababu ya pesa. Kwa hiyo, kama wewe ni mvulana na unahitaji mwanamke serious wa ndoa, unayo safari ndefu ya kumpata ubavu wako, kwani utabidi uvuke milima na mabonde mengi hadi kufikia malengo yako la sivyo ukipaparika utajikwaa mahali ambapo utajuta maisha yako yote.

Ila kama wewe ni mwanaume wa hit and run, what you need is only to have money to win a woman. Money and money only. Nasema haya kwa sababu nimeshaona experiences nyingi maishani. Wengine unachat naye mtandaoni, siku unakutana naye unakula mzigo. Wengine unafahamiana naye, ukiomba namba mkachat tuu, ataanza kuomba vocha na kukupiga mzinga, ukishampa ahadi ya kumpa hela, you will have her as soon as possible. Ni akina dada wachache sana ambao hawahitaji pesa zako, ambao nafsini mwao wanahitaji penzi la dhati. Naweza kusema kati ya kumi huenda ukampata mmoja, tena kwa shida. Umeshawahi kujiuliza kwa nini watu fulani, lets say watu mashuhuri au wenye pesa zao wanabadilisha wanawake kila kukicha na mbaya zaidi akina dada hao wanajua kuwa mtu fulani ni kicheche lakini still wanaenda hapo? Its money. Wanasema Hapendwi mtu hapa, ni pesa yako tu.

Akina kaka tujitafakari na kuchukua hatua.
KIUNGOMCHEZESHAJI
 
Last edited by a moderator:
mapenzi shuleni??

hata sie wakina dada tunatafakri na kuchukua hatua.
Asubuhi njema wana mmu
 
Last edited by a moderator:
^^
Wao wanasema eti ".. sio wanawake wote wanapenda pesa..!"
Ngoja niendelee na safari ndefu ya milima na mabonde sina pesa mie
^^
 
ni wazi wanaume wanataka sex na wanawake wanataka pesa.... mapenzi yamekuwa na ulaghai mwingi sana ila haiimaanishi hakuna wenye upendo wa kweli.
 
^^
Wao wanasema eti ".. sio wanawake wote wanapenda pesa..!"
Ngoja niendelee na safari ndefu ya milima na mabonde sina pesa mie
^^
hakuna asiependa pesa, wanawake na wanaume wote wanapenda pesa.
 
Dada yangu.. Pole sana.. Linapokuja suala la mwanamke na pesa ni kichwa na ngao,, naelewa nachosema..
Lakini hapa siongelei wanawake wa jf.
Wao wana upendo wa dhati..nasemea hawa wa huku mtaani.
Mpaka nikipata pesa za kuchezea then I will be back to their love

Wao wana upendo wa dhat
i..nasemea hawa wa huku mtaani.
Mpaka nikipata pesa za kuchezea then I will be back to their love
^^

teheeeeeeeeeeeeee! sante.
 
^^
Dada yangu.. Pole sana.. Linapokuja suala la mwanamke na pesa ni kichwa na ngao,, naelewa nachosema..
Lakini hapa siongelei wanawake wa jf.
Wao wana upendo wa dhati..nasemea hawa wa huku mtaani.
Mpaka nikipata pesa za kuchezea then I will be back to their love
^^

wa huko mtaani si ndio tuko hum JF
 
Wakati mwingine nadhani tunasahau kuwa maisha yanabadilika kwa kiasi kikubwa sana.
Mabadiliko haya yanaathiri pia jinsi ya 'kupendana' na mapenzi kwa ujumla wake.
Ushauri wangu..nenda na muda uendavyo..vinginevyo utaachwa mbali..
Kama wanawake wanapenda kudanganywa..wadanganye..kama wanapenda hela ..zitafute!
 
Sasa hivi upepo wa mahusiano si mzuri sana, wakati baadhi ya wadada wanajirahisi na kubadilisha wanaume ili kupata pesa kikidhi mahitaji yao na baadhi ya wanaume nao wenye pesa wanatumia pesa zao vibaya kubadilisha wasichana hovyo. Mazoea haya hujenga tabia, na tabia hizi huendelea hata baada ya makundi haya mawaili kuingia ktk ndoa. Usaliti huendelea kutawala ndoa na familia bila kikomo ....

Kwa akina kaka wasio na pesa, wao huishia either kubebwa na uwezo wao wa kiakili na kuchanganua mambo, tabia, msimamo, kujiamini, umakini, uchapakazi, vipaji na uwezo wao wa kufanya mamuzi sahihi au makini kwa wakati sahihi, na kupata baada ya kugongana na wadada wasio na tabia nilizozitaja hapo juu! ... Vinginevyo wangeishia kula makombo ...

Inasikitisha ...
 
hakuna asiependa pesa, wanawake na wanaume wote wanapenda pesa.

Kupenda pesa sio dhambi ila kuifanya kama mungu mdogo na ikutoe utu ndo taabu inapo anza!
Dada husninyo kila kitu kwa kiasi cha faa sana!!!
 
Do nothing but fill ur wallet with cheddah!..
A bunch of ladies go crazy when they find out that ur wallet is full.. maskini sie twala kuona tu!
 
Back
Top Bottom