What a man have to do to win a woman

What a man have to do to win a woman

Wanaume wengi siku hizi especially rika la vijana wanapatwa na wakati mgumu sana wa kumpata mwanamke ampendaye. Vijana wengi mahusiano yao hayafiki mbali, kama ni shuleni au vyuoni wengi wao mahusiano huisha mara wamalizapo masomo. Ni wachache wanaofanikiwa kusonga mbele hadi maisha ya ndoa, na wengine hata wakioana bado kudumisha uaminifu ni kazi kubwa sana. Sababu kubwa ni kuwa akina dada wengi wanapokuwa katika mazingira ya shule/chuo focus yake ni kumaliza masomo yake. Changamoto anazokutana nazo huko humfanya ajiattach kwa mwanaume ambaye anamuona atamfaa kimasomo au kifedha. Ndio maana akina dada wengi wanapokuwa vyuo wanachukuliwa kirahisi na watu wa mtaani au walimu wao.

Wanaume wengi wasio na malengo ya kuoa (ambao wanahitaji just a fan and leave) na ambao wana pesa siku hizi ndio wanaofaidi kumpata kirahisi mwanamke amtakaye kwa sababu ya pesa. Kwa hiyo, kama wewe ni mvulana na unahitaji mwanamke serious wa ndoa, unayo safari ndefu ya kumpata ubavu wako, kwani utabidi uvuke milima na mabonde mengi hadi kufikia malengo yako la sivyo ukipaparika utajikwaa mahali ambapo utajuta maisha yako yote.

Ila kama wewe ni mwanaume wa hit and run, what you need is only to have money to win a woman. Money and money only. Nasema haya kwa sababu nimeshaona experiences nyingi maishani. Wengine unachat naye mtandaoni, siku unakutana naye unakula mzigo. Wengine unafahamiana naye, ukiomba namba mkachat tuu, ataanza kuomba vocha na kukupiga mzinga, ukishampa ahadi ya kumpa hela, you will have her as soon as possible. Ni akina dada wachache sana ambao hawahitaji pesa zako, ambao nafsini mwao wanahitaji penzi la dhati. Naweza kusema kati ya kumi huenda ukampata mmoja, tena kwa shida. Umeshawahi kujiuliza kwa nini watu fulani, lets say watu mashuhuri au wenye pesa zao wanabadilisha wanawake kila kukicha na mbaya zaidi akina dada hao wanajua kuwa mtu fulani ni kicheche lakini still wanaenda hapo? Its money. Wanasema Hapendwi mtu hapa, ni pesa yako tu.

Akina kaka tujitafakari na kuchukua hatua.
KIUNGOMCHEZESHAJI
Naona mwandishi amechanganya mambo mengi ambayo hayajibiki kwa pamoja lakini niseme tu kwamba a woman is created to look a man upward; mwanamke huvutiwa na wanaume walioko juu, wale ambao ni machampioni bila kujalisha ni uchampioni wa kitandani, wa pesa, wa madaraka, wa umbile, nk. Ingawa kati ya yote hayo upo uchampioni mmojawapo ambao hutawala mauchampioni mengine na demu akikutano nao anaganda kama barafu. Kisa cha wanawake kurukaruka ni ile hali ya kufukuzia uchampioni huu mara ule nk kabla hajakutana na ule wa kumkwama kooni.
 
Kupenda pesa sio dhambi ila kuifanya kama mungu mdogo na ikutoe utu ndo taabu inapo anza!
Dada husninyo kila kitu kwa kiasi cha faa sana!!!

images
 
mwanamke na mwanaume katu hawajawahi kuwa na namna moja ya kuwaza...
 
Watu bado hawajajua, wanawake wanaopenda sana hela ndio wewe mpe jinsi vya kumpa akitosheka ni ulize atataka nini??
 
Back
Top Bottom