What a joke

Huku ndio run way au ndio wageni wanapoingilia na kutokea?
 
Usitegemee miujiza chini ya utawala wa CCM.
 
Ndege ikishindwa kutua hapo inapidi ushuke na parachuti tu...

Kwa mantiki hiyo hili eneo ile biashara yetu inaweza kupata wateja sana.

Cc: Dina - marketing manager
 
Last edited by a moderator:
Jamani mmenufurahisha sana kwa kutuonyesha uhalisia wa hivyo viwanja vya ndege.
 
tatizo sio viwanja tatizo ni hayo maneno yametumika vibaya ,wafute neno airport waandike airstrip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…