What a good flat

Huyu ashitakiwe kwa kuhatarisha maisha yake!
Imagine akirudi siku hiyo ana matingas kichwani na usiku wa manane anataka kwenda haja ndogo!!
 
Hivi curtain huwa zinakuwa kwa nje enh?

Dah, Halafu mbona ngazi yenyewe ya kuunga unga namna hii, anyway ghorofa muhimu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…