wezi wa 3

selestin john

Member
Jan 20, 2012
67
8
ebwana kitaani kwe2 ni noma cause midnight moja mateja(vitale)watatu walikuwa nje ya nyumba katika dirisha moja,sasa wakwanza akachana nyavu ya dirisha na kuingiza mkono kumbe bwana mwenye chumba alikuwa anawasikilizia 2,ile kuona mkono tu akakata kiganja na panga,yule teja akatoa mkono fasta huku akisikitika,mwenzie akamuuliza vp mwana?dah!we acha tu yaaani kuna bonge la mali kama vp we cheki mwenyewe uone,nae si akaingiza mkono-akakatwa pia na kuchomoa fasta kisha akamwambia mwenzake wa tatu-dah!mwanangu 2mewin life hebu ingiza nawe ujionee akaingiza mikono yote miwili.kilichompata***** sasa hivi chakula anakulia miguu
 
aaah umeniliza kweli yani sijacheka hata kidogo coz hii story niliisikia wakati nipo darasa la tatu asee iiiii hiiiii iiiiii iii ikh ikh iii hiiiihiiihhii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom