Habarini wakuu? Leo wezi wamefanya Yao kwangu mchana kweupe.naishi maeneo ya sinza wakuu.nimeibiwa vitu vya ndani ikiwemo tv flat screen ya startimes, laptop ,nguo na vitu vingine...wadau tuwe makini kuimarisha ulinzi hasa kipindi huku cha sikukuu..if umegongana navyo hivi vitu mtaani ni PM upate zawadi yako.
Thanks wakuu.Yaani wameiba hadi fungu la kumi.