Wezi noma sanaaa..

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,608
Habarini wakuu? Leo wezi wamefanya Yao kwangu mchana kweupe.naishi maeneo ya sinza wakuu.nimeibiwa vitu vya ndani ikiwemo tv flat screen ya startimes, laptop ,nguo na vitu vingine...wadau tuwe makini kuimarisha ulinzi hasa kipindi huku cha sikukuu..if umegongana navyo hivi vitu mtaani ni PM upate zawadi yako.
 
waliingiaje ? ulikua umelala ? walivunja duka ? ilikua ucku. unamhisi nani ?
 
waliingiaje ? ulikua umelala ? walivunja duka ? ilikua ucku. unamhisi nani ?

Wameiba kuanzia saa nne hadi sita mchana hivi, nilikuwa mihangaikoni,wamevunja nyumba ya makazi, kuna mwana namhisi hapa mtaani, nimeshachukua RB ...
 
pole sana.kwangu jpili kuamkia j3, walipanda ukuta wkaingia ngani, wakafungua gari na kuiba bateri. Leo ndo nimenunua. Ni vibaka wnaonizunguka. Tuchukue tahadhari kwenye sikukuu hizi
 
pole sana ilikmkuta rafiki yangu mmoja aliibiwa sinza kila kitu wakati amelala,ila wakamuachia simu tu ,mpaka kitandani walimtoa wakamlaza chini akiwa hajijui
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom